Connect with us

Video: Mercy Masika – Wastahili

Muziki

Video: Mercy Masika – Wastahili

Kwa mara ya kwanza katika mwaka 2018 mwimbaji Mercy Masika amekuja kwa kishindo kikubwa kabisa kwa kuachia video iitwayo Wastahili ikiwa imeongozwa na director Steve Hunter.

Video ya wimbo huu ameachia siku ya Pasaka ikiwa ni zawadi pekee kwa watu wote katika kumbumbuku za kuufrahia upendo wa Mungu kupitia kuteswa na kufufuka kwa mwanaye Yesu Kristo ambaye alikufa msalabani kwa ajili ya dhambi zetu na hakika amedhihirisha ukuu wa Mungu ndani yetu, hakika anastahili, hakika anastahili sifa.

“Bwana Yesu Kristo anastahili sifa zote na utukufu, Yeye peke yake anastahili. Tuna deni la maisha yetu kwake.”

Mungu wa wokovu wangu Wastahili kusifiwa Hakuna kama wewe Yesu kule kuwa kama Mungu uliona si kitu cha kushikamana nacho ukaacha enzi ukashuka kwetu kule kuwa kama Mungu uliona si kitu cha kushikamana nacho ukaacha enzi ukashuka kwetu kutukomboa – Mercy Masika

Kwa moyo mkunjufu nakukaribisha kutazama video hii na kupakua wimbo huu ambao nina amini kuwa utakubariki, Ameen.

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi wasiliana na muimbaji Mercy Masika kupitia:
Facebook: Mercy Masika
Instagram: @mercymasikamuguro
Youtube: Mercy Masika

Like us on facebook >> GOSPO MEDIA  Follow us on instagram >> @gospomedia

NAWAPENDA - ZABRON SINGERS

Muziki

VIDEO | NAWAPENDA – ZABRON SINGERS

By October 11, 2021

TRENDING

To Top