Connect with us

Video: Mercy Masika – He Never Lie

Muziki

Video: Mercy Masika – He Never Lie

Kwa mara ya kwanza katika mwaka 2019 tumekusogezea video mpya iitwayo He Never Lie kutoka kwa mkali wa nyimbo za Injili nchini Kenya maarufu kama Mercy Masika.

Video hii imeongozwa na director mahiri kutoka Tanzania maarufu kama Hanscana, Muziki ukiwa umetayarishwa na kurekodiwa chini ya mikono ya prodyuza Nqubeko Mbatha.

“Yeye aliyeukubali ushuhuda wake ametia mhuri ya kwamba Mungu ni kweli.” Yohana 3:33

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii njema ambayo ni hakika itakubariki kila wakati, Amen.

Social Media:
Facebook: Mercy Masika
Instagram: @mercymasikamuguro
Youtube: Mercy Masika

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

GUARDIAN ANGEL - NI TABIBU_audio

Muziki

AUDIO | GUARDIAN ANGEL – NI TABIBU

By September 22, 2021

TRENDING

To Top