Connect with us

Video | Audio: Mercy Masika – Fungua Macho (Open Your Eyes)

Muziki

Video | Audio: Mercy Masika – Fungua Macho (Open Your Eyes)

Kwa mara nyingine tena katika mwaka 2018 mwimbaji maarufu Mercy Masika kutoka nchini Nairobi Kenya ameachia video ya wimbo wake uitwao Fungua Macho, Video hii imeongozwa na director Steve Hunter, Muziki ukiwa umetayaarishwa na kurekodiwa chini ya mikono ya prodyuza Teddy B.

“Fungua macho yako kwa uwezo(msaada) ambao Baba yetu amekupa ili ufanikiwe katika utume wako katika maisha haya.” – Mercy Masika

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii na hakika utainuliwa na kubarikiwa, Ameen.

Download Audio

Social Media:
Facebook: Mercy Masika
Instagram: @mercymasikamuguro
Youtube: Mercy Masika

Like us on facebook >> Gospo Media Follow us on instagram >> @gospomedia

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

NAWAPENDA - ZABRON SINGERS

Muziki

VIDEO | NAWAPENDA – ZABRON SINGERS

By October 11, 2021

TRENDING

To Top