Connect with us

Video: Mercy Masika, Emmy Kosgei & Evelyn Wanjiru – Subiri(Wait)

Muziki

Video: Mercy Masika, Emmy Kosgei & Evelyn Wanjiru – Subiri(Wait)

Shalom mwana wa Mungu! leo Kutoka nchini Kenya leo nimekuwekea video iitwayo Subiri kutoka kwa waimbaji mahiri wa nyimbo za Injili nchini humo akiwemo Mercy Masika, Emmy Kosgei na Evelyn Wanjiru.

Video hii imeongozwa na kampuni ya TrueD Pictures na wimbo ukiwa umetayaarishwa na prodyuza anayefahamika kwa jina la Bwenieve.

”Subiri” ni wimbo mzuri sana uliobeba kusudi la kutangaza neno la Mungu na kueneza ujumbe wa matumaini kwa wana wa Mungu kwa kuziinua nafsi zilizokatishwa tamaa ili ziweze kuhuishwa na kuwa na nguvu mpya yenye kumtegemea Bwana wetu Yesu Kristo ambaye upendo wake bado haujafika kikomo.

Kwa moyo mkunjufu nakukaribisha kutazama video hii nzuri na kupakua wimbo huu ambao ni hakika utakwenda kufanya jambo la Baraka ndani ya moyo na nafsi yako siku ya leo. Karibu!!

Download Audio

Social Media:
Facebook: Mercy Masika | Emmy Kosgei | Evelyn Wanjiru
Instagram: @mercymasika | @emmykosgei | @evelyn Wanjiru

NAWAPENDA - ZABRON SINGERS

Muziki

VIDEO | NAWAPENDA – ZABRON SINGERS

By October 11, 2021

TRENDING

To Top