Connect with us

Video | Audio: Melania Kalebi – Ni Kwa Neema Tu

Audio

Video | Audio: Melania Kalebi – Ni Kwa Neema Tu

Kutoka jijini Dar es salaam kwa mara ya kwanza tunamtambulisha kwako mwimbaji mpya katika huduma ya muziki wa Injili anayefahamika kwa jina la Melania Kalebi na hii ni video ya wimbo wake mpya uitwao Ni Kwa Neema Tu.

Video hii imeongozwa na director Debro kutoka studio za Eagle View Studios, Muziki ukiwa umetayaarishwa na kurekodiwa chini ya mikono ya prodyuza Tony Music.

“Kuna nyakati tunaweza kupitia mambo magumu yanayovuka fahamu zetu lakini kwa upendo wake Mungu tunavushwa katika mapito hayo kwa namna ya kushangaza sana na hakika bila neema za Mungu hatuwezi kufika mahali popote hivyo yatupasa kila wakati kumshukuru Mungu kwa Neema zake.” – alisema Melania

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii njema ambayo ni hakika itakubariki na kukugusa kwa namna ya kipekee, Amen.

Kwa watumiaji wa tovuti bonyeza hapa chini:

Download Audio

Kwa watumiaji wa App bonyeza hapa chini:
Download Audio

Kwa mawasilianA zaidi na mialiko ya kihuduma watiliana na mwimbaji Melania Kalebi kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 686 460 244
Facebook: Melania Kalebi
Instagram: @melaniakalebi
Youtube: Melania Kalebi

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

To Top