Audio: MD The Chosen - Pray For You Feat. Tino - Gospo Media
Connect with us

Audio: MD The Chosen – Pray For You Feat. Tino

Audio

Audio: MD The Chosen – Pray For You Feat. Tino

Kutoka mjini Lusaka Zambia leo tumekusogezea wimbo uitwao Pray For You kutoka kwa kundi la waimbaji wa nyimbo za Injili kwa mtindo wa HipHop linalofahamika kwa jina la MD The Chosen wakiwa wamemshirikisha Tino.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu na hakika utabarikiwa, Amen.

“I pray for you, Papa God be there for you, Ni wimbo wa maombi kwa mtu ambaye ana shida mbalimbali katika maisha, Ni wimbo unaomkumbusha mtu kutambua uwepo wa nguvu ya Mungu bila kujali hali ambayo anaweza kupitia, Warumi1: 9-10”

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu ambao ni hakika utakubariki, Amen

Kwa watumiaji wa tovuti bonyeza hapa chini:

Download Audio

Kwa watumiaji wa App bonyeza hapa chini:
Download Audio

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

To Top