AudioVideo

Video | Audio: Mc Freddie Feat Juliana – Siteketei

Kwa mara nyingine tena kutoka mjini morogoro leo nimekuwekea video ya wimbo uitwao Siteketei kutoka kwa rapa mpya wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Mc Fredie hapa akiwa amemshirikisha mwanadada Juliana video ikiwa imeongozwa na studio za Revolution Entertainment na wimbo ukiwa umetengenezwa ndani ya studio za El nino Music chini ya mikono ya prodyuza Cat na Yuck.

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi au mialiko ya huduma wasiliana na mwimbaji Mc Freddie kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 654 051 919
Facebook: Fredie Mc
Instagram: @mc_freddie_believer
Email: mcfredietz@gmail.com

Like Page yetu ya facebook > GOSPOMEDIA.COM instagram: @gospomedia

Advertisements
Previous post

Tazama Video | Download Music: Lydia Livingstone - Chineke

Next post

Albamu ya Hakuna Matata Kuzinduliwa Oktoba 29 Highland Hall, Iringa.