AudioVideo

Video | Audio: Mc Freddie – Amen

Kutoka mjini Morogoro mwimbaji wa nyimbo za Injili kwa mtindo wa HipHop Mc Freddie ameachia video ya wimbo wake mpya uitwao AMEN.

Video hii imeongozwa na director Lucca Swahili kutoka studio za Lucca Swahili Visuals, Muziki ukiwa umetayaarishwa na kurekodiwa chini ya mikono ya prodyuza Kimambo.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii tukiamini kuwa kuwa utabarikiwa kwa namna yako, AMEN.

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi au mialiko ya huduma wasiliana na Mc Freddie kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 654 051 919
Facebook: Fredie Mc
Instagram: @mc_freddie_believer | @revulutionentertainmenttz
YouTube: Revolution EntertainmentTz

Advertisements
Previous post

Video | Audio: Princess Leo & Bahati - Jionyeshe

Next post

Audio: Asha Elia - Walk Together