Video | Audio: Mbuvi & Denno - I Can Fly - Gospo Media
Connect with us

Video | Audio: Mbuvi & Denno – I Can Fly

Audio

Video | Audio: Mbuvi & Denno – I Can Fly

Baada ya kimya cha muda mrefu mwimbaji wa nyimbo za Injili kutoka nchini Kenya maarufu kama Mbuvi wiki chache zilizopita ameachia video ya wimbo wake mpya uitwao I Can Fly akiwa sambamba na mwimbaji Denno.

Video hii imeongozwa na director Steve Hunter, Muziki ukiwa umetayaarishwa na kurekodiwa chini ya mikono ya prodyuza Saint P.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii na ni imani yetu kuwa utabarikiwa kupitia wimbo huu, Ameen.

Kwa watumiaji wa tovuti bonyeza hapa chini:

Download Audio

Kwa watumiaji wa App bonyeza hapa chini:
Download Audio

Social Media
Instagram: @mbuvi
Youtube: Mbuvi Mbuvi Tv

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

To Top