AudioVideo

Video | Audio: Masterpiece & Moji Shortbabaa – Fresh

Mshindi wa tuzo ya Groove Awards 2018 nchini Kenya Masterpiece siku ya jana ameachia video ya wimbo wake mpya uitwao Fresh akiwa amemshirikisha Moji Shortbabaa.

Video hii imeongozwa na director J Blessing na muziki ukiwa umetayaarishwa na kurekodiwa ndani ya studio za Soundtrack chini ya mikono ya prodyuza Saint P.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii, Barikiwa!

Kwa watumiaji wa tovuti bonyeza hapa chini:

Download Audio

Kwa watumiaji wa App bonyeza hapa chini:
Download Audio

Social Media
Facebook: Masterpiece Kenya
Instagram: @masterpieceking_
Youtube: Masterpiece Ke

Advertisements
Previous post

Video | Audio: Havoc Feat. Rufftone - Show Dem

Next post

Audio: Anthony Nkondola - Ni Wewe