Videos

Video | Audio: Masterpiece – Chini ya Mwamba

Video inaitwa Chini ya Mwamba kutoka kwa mwimbaji mpya katika kiwanda cha muziki wa Injili nchini Kenya akifahamika kwa jina la Master Piece, video ikiwa imeongozwa na Trued Pictures na muziki ukiwa umetayaarishwa na mikono ya prodyuza Jegede. Karibu ubarikiwe!

Download Audio

Social Media
Facebook: Masterpiece Kenya
Instagram: @masterpieceke
Twittter: @masterpieceke
Youtube: Masterpiece Ke

Like facebook page >> GOSPOMEDIA  Follow instagram page >> @gospomedia

Lads

Lads

Naitwa Ladslaus Milanzi, mwanzilishi na msimamizi wa tovuti hii ya habari za kikristo, nyimbo na video za muziki wa Injili, Asante kwa kutembelea tovuti hii nikiamini kuwa umebarikiwa na kufurahia na vyote ambavyo umevipata kupitia tovuti hii ikiwa ni moja ya chombo kilichobeba kusudi la kuieneza Injili na kuihudumia jamii kupitia habari na burudani. Mungu Ibariki Gospo Media, Mungu Ibariki Tanzania.
Wasiliana nami kupitia simu/whatsApp: +255 755 038 159.

Previous post

Video | Audio: Moji Short Babaa, Gurdian Angel, DK Kwenye Beat - Hajawahi Niangusha

Next post

Audio: Ese-Osa - Believe