Connect with us

Video: Masanja Mkandamizaji – Nii

Masanja Mkandamizaji - Nii

Muziki

Video: Masanja Mkandamizaji – Nii

Masanja Mkandamizaji - Nii

Kutoka lebo ya Masanja Entertainment kwa mara nyingine tena mtumishi wa Mungu Emanuel Mgaya maarufu kama Masanja Mkandamizaji ameachia video ya wimbo wake mpya uitwao Nii.

Video hii imeongozwa na director Onesmo Abrah kutoka studio za OCB Imagez, Muziki ukiwa umetayaarishwa na kurekodiwa chini ya mikono ya prodyuza J Dallaz.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kuitazama video hii na hakika utabarikiwa, Amen!

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na mtumishi wa Mungu Emmanuel Mgaya kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 713 855 855
Facebook: Emmanuel Mgaya
Instagram: @masanjatv
Youtube: Emmanuel Mgaya masanja

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

To Top