Video | Audio: Masanja Mkandamizaji - Moyo Mweupe - Gospo Media
Connect with us

Video | Audio: Masanja Mkandamizaji – Moyo Mweupe

Audio

Video | Audio: Masanja Mkandamizaji – Moyo Mweupe

Kutoka kwenye album yake ya SAPRAIZ, Masanja Mkandamizaji amekuletea video mpya ya wimbo wake wa MOYO MWEUPE, Video imeongozwa na Dir. Alex Joseck  kutoka Enzi Filmz hakika utabarikiwa kwa video ya wimbo huu. Karibu!!

DOWNLOAD AUDIO

Kwa mawasiliano zaidi na huduma ya mialiko wasiliana na mwimbaji Masanja Mkandamizaji kupitia
Simu/WhatsApp: +255713855855
Facebook: Emmanuel Mgaya
Instagram: masanja

Like Page yetu ya facebook >> GOSPOMEDIA instagram>> @gospomedia

More in Audio

To Top