Audio

Audio: Masanja Mkandamizaji – Kemea Pepo

Kutoka kwa mtumishi wa Mungu Emanue Mgaya maarufu kama Masanja Mkandamizaji na huu ni wimbo wake mpya uitwao Kemea Pepo, Muziki ukiwa umetayaarishwa na kurekodiwa chini ya mikono ya prodyuza Maka Rythm.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza, Barikiwa!

 

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na mtumishi wa Mungu Emmanuel Mgaya kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 713 855 855
Facebook: Emmanuel Mgaya
Instagram: @masanjatv
Youtube: Emmanuel Mgaya masanja

Like us on facebook >> Gospo Media Follow us on instagram >> @gospomedia

Advertisements
Previous post

Audio: Rogate Kalengo Feat. The Xplicits - More than Enough

Next post

Audio: Fred Kwada – Greatest Passion