Advertisements
Connect with us

Gospo Media

Video: Masanja Mkandamizaji – Kemea Pepo

Video

Video: Masanja Mkandamizaji – Kemea Pepo

Kutoka kwenye lebo ya Masanja Entertainment kwa mara nyingine tena mtumishi wa Mungu Emanuel Mgaya maarufu kama Masanja Mkandamizaji ameachia video ya wimbo wake uitwao Kemea Pepo.

Video hii imeongozwa na director Msafiri kutoka Kwetu Studios, Muziki ukiwa umetayaarishwa na kurekodiwa chini ya mikono ya prodyuza Maka Rythm.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kuitazama video hii na hakika utabarikiwa, Amen!

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na mtumishi wa Mungu Emmanuel Mgaya kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 713 855 855
Facebook: Emmanuel Mgaya
Instagram: @masanjatv
Youtube: Emmanuel Mgaya masanja

Advertisements
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Video

FEATURED MUSIC

Advertisements

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

Gospomedia.com ni blog ya kikristo inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili.

To Top