Connect with us

Video: Mary Nasson – Unanitosha

Video

Video: Mary Nasson – Unanitosha

Baada ya kuachia video ya wimbo Damu Imenisafisha kwa mara nyingine tena mwimbaji wa nyimbo za Injili Mary Nasson ameachia video ya wimbo wake mzuri wa kuabudu uitwao Unanitosha.

Video hii imeongozwa na director Amigo Johnson, Muziki ukiwa umetayaarishwa na kurekodiwa ndani ya studio za Fresters Records.

Ni hakika kuwa utabarikiwa na video ya wimbo huu kila wakati utakapokuwa unatazama na kusikiliza, Kwa moyo tunakukaribisha, Amen.

Kwa mawasilianA zaidi na mialiko ya kihuduma watiliana na Mary Nasson kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 620 845 161
Facebook: Mary Nasson
Instagram: @marynasson
Youtube: Mary Nasson

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Video

To Top