Connect with us

Video: Mary Nasson – Damu Imenisafisha

Muziki

Video: Mary Nasson – Damu Imenisafisha

Kutoka mjini Moshi Kilianjaro kwa mara ya kwanza tunamtambulisha kwako mwimbaji mpya katika huduma ya muziki wa Injili nchini Tanzania akifahamika kwa jina la Mary Nasson na hii ni video yake ya kwanza kuachia inayobebwa kwa jina la Damu Imenisafisha ikiwa imeongozwa na director Amigo Johnson.

“Kwa Upendo wa Mungu, tumesafishwa na damu ya Yesu, Ni upendo wa namna ya pekee kwetu kutoka kwa Mungu aliyemtoa mwana wake wa pekee ili aje kutusafisha dhambi, Hakika kwa damu yake sisi tumepona, Karibu uangalie video hii iliyobeba habari njema kwa ajili yako, Mungu aendelee kukubariki sana.” – alisema Mary

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii njema ambayo ni hakika kuwa itakubariki na kukugusa kwa namna ya kipekee, Ameen.

Kwa mawasilianA zaidi na mialiko ya kihuduma watiliana na mwimbaji Mary Nasson kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 620 845 161
Facebook: Mary Nasson
Instagram: @marynasson
Youtube: Mary Nasson

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Advertisement

TRENDING

To Top