Connect with us

Audio: Mary Msigwa – Nitashuhudia

Mary Msigwa - Nitashuhudia

Muziki

Audio: Mary Msigwa – Nitashuhudia

Mary Msigwa - Nitashuhudia

Kutoka mjini Iringa kwa mara ya kwanza katika mwaka 2019 tunautambulisha wimbo mpya uitwao Nitashuhudia kutoka kwa mwimbaji Mary Msigwa.

Muziki huu umetayaarishwa na kurekodiwa ndani ya studio za Delight records chini ya mikono ya prodyuza Hezy.

“Katika wimbo huu nazungumzia umuhimu wetu wa kuamini katika Yesu Kristo, Msisitizo wangu ni kwamba ahadi zote za Mungu juu mwanadamu anazomuahidi mtu ni za kweli kikubwa ni kuamini na kutokatishwa tamaa kwa changamoto inayoinuka mbele yako bali mtu aziishi ahadi atajikuta jasiri.. Bado kidogo kuna kushuhudia baba yupo kazini kutengeneza ushuhuda kwa ukubwa, Amen.” – Mary Msigwa

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu ambao ni imani yetu kuwa utakubariki na kukuinua, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na Mary Msigwa kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 658 167 314
Facebook: Mary Msigwa
Instagram: @sacsesa_bosslady
Youtube: Mary Msigwa

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

GUARDIAN ANGEL - NI TABIBU_audio

Muziki

AUDIO | GUARDIAN ANGEL – NI TABIBU

By September 22, 2021

TRENDING

To Top