Audio: Mary Kahimba - Wewe Ni Mwema - Gospo Media
Connect with us

Audio: Mary Kahimba – Wewe Ni Mwema

Audio

Audio: Mary Kahimba – Wewe Ni Mwema

Baada ya kuachia wimbo uitwao Kibali mwezi Agosti 2018 kwa mara nyingine tena mwimbaji mpya wa nyimbo za Injili anayefahamika kama Mary Kahimba ameachia wimbo wake mpya uitwao Wewe Ni Mwema.

“Wewe ni Mwema ni wimbo unaorudisha sifa na shukrani mbele za Mungu kwa matendo yake makuu na yenye kushangaza yaliyoonekana katika maisha yetu, Mungu wetu kweli ni mwema hatuna budi kulisifu jina lake leo hata na milele.” – alisema Mary

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu mzuri wa sifa na hakika utabarikiwa kila wakati, Amen.

Kwa watumiaji wa tovuti bonyeza hapa chini:

Download Audio

Kwa watumiaji wa App bonyeza hapa chini:
Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na mwimbaji Mary Kahimba kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 744 123 730
Facebook: Mary Kahimba
Instagram: @marykahimba

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

To Top