Audio

Audio: Martin Nindi – Yesu Nisaidie

Kutoka mjini Nachingwea mkoani Lindi kwa mara ya kwanza tunamtambulisha kwako mwimbaji wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Martin Nindi na huu ni wimbo wake wa kwanza kuachia uitwao Yesu Nisaidie.

Muziki huu umetayaarishwa na kurekodiwa ndani ya studio za megaton music chini ya mikono ya prodyuza Spiz.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu tukiamini kuwa utakubariki, Amen.

Kwa watumiaji wa tovuti bonyeza hapa chini:

Download Audio

Kwa watumiaji wa App bonyeza hapa chini:
Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na mtumishi wa Mungu Martin Nindi kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 745 165 020, +255 652 927 740
Facebook: Muinjilist Martin Nindi
Instagram: @muinjilistmartinnindi

Advertisements
Previous post

Audio: Roline Raban - Yote Mema

Next post

Video | Audio: Neema Ng'asha - Kheri Krismasi na Mwaka Mpya