Video | Audio: Maria Msalilwa - Yesu ni Fimbo - Gospo Media
Connect with us

Video | Audio: Maria Msalilwa – Yesu ni Fimbo

Audio

Video | Audio: Maria Msalilwa – Yesu ni Fimbo

Kutoka jijini Dar es salaam leo tunamtambulisha kwako mwimbaji anayefahamika kwa jina la Maria Msalilwa ambaye kwasasa ameachia video ya wimbo wake mpya uitwao Yesu ni Fimbo.

Video hii imeongozwa na studio za Epic Films, Muziki ukiwa umetayaarishwa na kurekodiwa ndani ya studio za Rock Sound Music chini ya mikono ya prodyuza Jonah.

Yesu ni Fimbo ni wimbo wa sifa unaomtukuza Mungu kwa ukuu wake unaotenda maajabu kila siku katika maisha yetu, Hakika Yesu ni fimbo ya magonjwa yaliyoshindikana, tabu na mateso ya kila aina, Kupitia damu yake sisi tumekombolewa na kuponywa, Amen.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii njema ambayo ni hakika kuwa itakubariki na kukuinua kwa maana wewe ni mshindi #YesuniFimbo

Kwa watumiaji wa tovuti bonyeza hapa chini:

Download Audio

Kwa watumiaji wa App bonyeza hapa chini:
Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na mwimbaji Maria Msalilwa kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 714 452 222
Facebook: Maria G. Msalilwa
Instagram: @official_mariamsalilwa
Youtube: Maria Msalilwa

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

To Top