Audio

Audio: Maria Bond – Jesus (Remix) Feat. Fred Williams

Kutoka nchini Uingereza leo tumekusogezea wimbo uitwao Jesus ikiwa ni remix kutoka kwa mwimbaji wa nyimbo za Injili maarufu kama Maria Bond hapa akiwa amemshirikisha mwimbaji wa nyimbo za Injili kwa mtindo wa Reggae maarufu kama Fred Williams.

Muziki huu umetayaarishwa na kurekodiwa chini ya mikono ya prodyuza JayJayonDbeat.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu na hakika utabarikiwa, Ameen.

Kwa watumiaji wa tovuti bonyeza hapa chini:

Download Audio

Kwa watumiaji wa App bonyeza hapa chini:
Download Audio

Social Media:
Facebook: Maria Bond
Instagram:  @Iammariabond
Twitter: @Iammariabond

Advertisements
Previous post

Audio: Bright Edeh Feat. Magpsalm - When I call

Next post

Audio: Doyin Godwin – Most High