Connect with us

Mama Maggie Muliri Katuletea Video Mpya ‘Yupo Macho’ itazame

Muziki

Mama Maggie Muliri Katuletea Video Mpya ‘Yupo Macho’ itazame

Ni mkali kutokea Tanzania mtumishi wa Mungu Maggie Muliri ambae time hii ametuletea video mpya ya wimbo wake uitwao Yupo Macho akiwa amemshirikisha Mume wake Prophet Elisha Muliri. bonyeza play kuutazama, Barikiwa!

Maggie Muliri ft Elisha Muliri – Yupo Macho

Connect:
Facebook: Maguy Muliri
Instagram: @maggie_muliri
Youtube: Maggie Muliri

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

To Top