Video | Audio: Makena - Kwa Jina Lako - Gospo Media
Connect with us

Video | Audio: Makena – Kwa Jina Lako

Audio

Video | Audio: Makena – Kwa Jina Lako

Baada ya kimya cha muda mrefu kutoka kwa mwimbaji wa nyimbo za Injili kutoka nchini Kenya maarufu kama Makena amerudi tena kwa kuachia video ya wimbo wake mzuri uitwao Kwa Jina Lako.

Video hii imeongozwa na TrueD Pictures, Muziki ukiwa umetayaarishwa na kurekodiwa chini ya mikono ya prodyuza Dominic Khahemba.

“Kwa Jina Lako ni wimbo uliobeba tamko la nguvu za ushindi katika Jina la Yesu, Jina ambalo tunapata ushindi katika vita na changamoto zote za maisha. Ni maombi yangu ya dhati kwamba kupitia wimbo huu wengi wataachiliwa kutoka katika kila ugonjwa na ukandamizaji wa shetani, katika Jina la Yesu.” – alisema Makena

Kwa watumiaji wa tovuti bonyeza hapa chini:

Download Audio

Kwa watumiaji wa App bonyeza hapa chini:
Download Audio

Social Media:
Facebook: YV Makena
Instagram: @ladymakena
Twitter: @yvmakena
YouTube: Makena Yvonne

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

To Top