Connect with us

Madhara 10 ya kupiga punyeto kwa wanawake

Madhara 10 ya kupiga punyeto kwa wanawake

Dondoo

Madhara 10 ya kupiga punyeto kwa wanawake

Mara nyingi tumekuwa bize tukizungumzia madhara au athari za kujichua kwa wanaume bila kuwahi kuzungumzia madhara hayo kwa wanawake.

Ukweli ni kuwa wanawake nao wanajichua au wanajipiga punyeto kama wanaume na kitendo hicho kina madhara kiafya kwao kama ilivyo kwa wanaume hivyo kukaa kimya bila kulizungumzia hilo ni kutowatendea haki.

Haya ni baadhi ya madhara anayoweza kuyapata mwanamke anayejichua au kupiga punyeto

1. Inaweza kuharibu kizazi chako

2. Inakufanya kuwa mvivu

3. Inakupotezea hisia, inakufanya ukose hamu ya kushiriki tendo la ndoa

4. Inakuletea maumivu ukeni yasiyo na sababu

5. Inakufanya uwe na uke kua mlegevu, yaani mtepeto.

6. Hupelekea uke kutoa maji maji mara kwa mara au maji yale ambayo hutoka kabla ya tendo la ndoa kutokuwepo hivyo itakufanya kupata michubuko na maumivu makali wakati wa tendo la ndoa

7. Huwezi kuja kujua raha ya tendo la ndoa ukizoea sana punyeto

8. Inapelekea uke wako kukosa ladha hivyo itakupelekea kukimbiwa na mme wako

9. Inakufanya kuwa na hasira za mara kwa mara zisizo hata na sababu

10. Punyeto ni hatari kwa afya yako pia ukiizoea sana itakupelekea kufanya mapenzi ya jinsia moja.

11. Utakaposhiriki tendo la ndoa na mwanaume utachelewa sana kufika kileleni

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

GUARDIAN ANGEL - NI TABIBU_audio

Muziki

AUDIO | GUARDIAN ANGEL – NI TABIBU

By September 22, 2021

TRENDING

To Top