Connect with us

Video: Madame Johari – Nainua Macho

Madame Johari - Nainua Macho

Muziki

Video: Madame Johari – Nainua Macho

Madame Johari - Nainua Macho

Kutoka mjini Iringa kwa mara ya kwanza katika mwaka 2019 tunamtambulisha kwako mwimbaji Madame Johari na hii ni video ya wimbo wake uitwao Nainua Macho.

“Nainua Macho ni wimbo ambao niliuandika na kuuimba nikiwa nimebeba ujumbe wa habari njema kwa watu wote wanaosumbuka na mambo ya dunia hii ambayo mengi yanaumiza na kuwatesa wengi lakini katika yote hayo bado upendo wa Mungu una nguvu ya kuturudisha kwa upya kwa maana jina la Bwana wetu Yesu lina nguvu ya kutenda maajabu, Amen.” – Madame Johari.

Video ya wimbo hii imeongozwa director Emanuel Ngogo, Muziki ukiwa umetayaarishwa na kurekodiwa chini ya mikono ya prodyuza KB.

Tuna imani kupitia video ya wimbo huu utainuliwa na kubarikiwa kwa namna ya pekee, Bwana Yesu asifiwe, AmeN.

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana Madame Johari kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 620 455 857
Facebook: Johari Peter
Instagram: @madamejohari
Youtube: madame johar

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

To Top