Connect with us

Video | Madam Flora – Yesu Usinipite

Muziki

Video | Madam Flora – Yesu Usinipite

Baada ya kuachia video yake nzuri iitwayo Wanitosha aliyoiachia mwezi Machi 2018 kwa mara nyingine tena katika mwezi April mkongwe katika kiwanda cha muziki wa Injili Tanzania Madam Flora ameachia tena video yake nyingine iitwayo Yesu usinipite ikiwa ni kazi yake ya pili kuachia kwa mwaka 2018.

Usinipite Yesu ni wimbo wa kuabudu uliobeba maombi kwa Mungu kupitia mtu ambaye amekuwa katika shida na taabu mbalimbali ambazo zimemfanya arudini magotini kwa ajili ya kuomba msaada kwa yale mapito anayopitia.

Kwa moyo mkunjufu nakukaribisha kutazama video hii nikiamini kuwa utabarikiwa, Ameen.

Kwa mawasiliano zaidi wasiliana na mwimbaji Madam Flora kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 758 105 014
Facebook: Madam Flora Henry
Instagram: @floramadamtz
Youtube: Madam Flora

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

NAWAPENDA - ZABRON SINGERS

Muziki

VIDEO | NAWAPENDA – ZABRON SINGERS

By October 11, 2021

TRENDING

To Top