Advertisements
Connect with us

Video: Lydia Ndwiga – Subiri

Video

Video: Lydia Ndwiga – Subiri

Kutoka jijini Nairobi Kenya kwa mara ya kwanza tumekusogezea video ya wimbo uitwao Subiri kutoka kwa mwimbaji wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Lydia Ndwiga.

Subiri ni reggae cover version ya wimbo uitwao You Waited uliowahi kuimbwa na mwimbaji maarufu wa nyimbo za Injili nchini marekani Travis Greene.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii njema na hakika kuwa itakubariki, Amen.

Social Media:
Facebook: Lydia Ndwiga
Instagram: @lydiandigwa
YouTube: Lydia Ndwiga

Advertisements
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Video

FEATURED MUSIC

Advertisements

TOP TRENDING

SUBSCRIBE

Enter your email address to subscribe to this blog and receive notifications of new posts by email.

Join 12,277 other subscribers

Gospomedia.com ni blog ya kikristo inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili kila siku kutoka ndani na nje ya Afrika.

To Top