Audio: LoSims Feat. Kathy - White Rose - Gospo Media
Connect with us

Audio: LoSims Feat. Kathy – White Rose

Audio

Audio: LoSims Feat. Kathy – White Rose

Anaitwa Lolavye Simukoko, maarufu kwa jina la Lo Sims rapa wa nyimbo za Injili kwa mtindo wa Hip-Hop kutoka nchini zambia, kwa mara ya kwanza kupitia tovuti yako pendwa nimekuletea wimbo wake mpya uitwao White Rose akiwa amemshirikisha mwimbaji Kathy. Muziki huu umetayarishwa na mikono ya prodyuza Champs.

Kwa moyo mkunjufu nakukaribisha kusikiliza na kupakua wimbo huu, Barikiwa!

 

Download Audio

Like us on facebook >> GOSPO MEDIA  Follow us on instagram >> @gospomedia

More in Audio

To Top