Connect with us

Video | Audio: Lilian Robinson – Uweponi Mwako

Video

Video | Audio: Lilian Robinson – Uweponi Mwako

Kutoka jijini Dar es salaam leo nimekusogezea video nzuri iitwayo Uweponi Mwako kutoka kwa mwimbaji mpya wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Lilian Robinson, video hii imeongozwa na director Debro kutoka studio za Eagle View Pro.

“Hii ni nyimbo ambayo inaelezea ni kiasi gani tunahuitaji wa uwepo wa MUNGU Katika maisha yetu Hope utabarikiwa kupitia nyimbo hii kwa jina la Yesu” – Alisema Lilian

Kwa moyo mkunjufu nakukaribisha kuitazama video hii ambayo nina imani kuwa itakubariki sana, Ameen.

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na mwimbaji Lilian Robinson kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 718 750 513
Facebook: Lily wa Roby
Instagram: @lilianrobinson
Youtube: LILIAN ROBINSON

Like us on facebook >> GOSPO MEDIA  Follow us on instagram >> @gospomedia

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Video

To Top