Advertisements
Connect with us

Gospo Media

Audio: Lilian Robinson – Unisikie

Audio

Audio: Lilian Robinson – Unisikie

Kutoka jijini Dar es salaam kwa mara nyingine tena nimekusogezea wimbo mzuri wa kuabudu uitwao Unisikie kutoka kwa mwimbaji mpya wa nyimbo za Injili Tanzania anayefahamika kwa jina la Lilian Robinson.

“Unisikie ni wimbo uliobeba Nguvu za Mungu, Ukiwa unapeleka haja ya Moyo wako, Hakika Mungu lazima Atende…Ukiamini Hakika itakuwa, Barikiwa sana na Mungu akutane na haja ya Moyo wako ukiwa unasikiliza wimbo huu wa Ibada, Ameen” – Alisema Lilian Robinson

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliaza wimbo huu tukiamini kuwa utakubariki sana na kukuinua kwa namna ya kipekee, Ameen.

Kwa watumiaji wa tovuti bonyeza hapa chini:

[easy_media_download url=”https://gospomedia.com/wp-content/uploads/2018/11/Lilian-Robinson-Unisikie.mp3″ text=”Download Audio” force_dl=”1″]

Kwa watumiaji wa App bonyeza hapa chini:
Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na mwimbaji Lilian Robinson kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 718 750 513
Facebook: Lily wa Roby
Instagram: @lilianrobinson
Youtube: LILIAN ROBINSON

Advertisements
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

FEATURED MUSIC

Advertisements

TOP 10 ON GOSPOMEDIA

SUBSCRIBE

Enter your email address to subscribe to this blog and receive notifications of new posts by email.

Join 12,309 other subscribers

Gospomedia.com ni blog ya kikristo inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili.

To Top