Audio

Audio: Lilian Kimola – Wewe ni Mungu

Baada ya kimya cha takribani mwaka mmoja mwimbaji mkongwe katika huduma ya muziki wa Injili Tanzania Lilian Kimola amekuja upya kwa kuachia wimbo wake mpya uitwao Wewe ni Mungu, Muziki huu umetayarishwa na kurekodiwa chini ya mikono ya prodyuza PG.

Wewe ni Mungu ni wimbo wa sifa unaokiri ukuu na uweza wa Mungu juu ya vitu vyote vilivyo juu ya nchi, Huyu ni Mungu zaidi ya miungu, Huyu ni Baba zaidi ya mababa hakuna wa kufanana naye!

Tunaamini kupitia wimbo huu utabarikiwa, Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza, Ameen.

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na mwimbaji Lilian Kimola kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 716 500 009
Facebook: Lilian Kimola
Instagram: @liliankimola
Youtube: LilianKimola

Like us on facebook >> Gospo Media Follow us on instagram >> @gospomedia

Advertisements
Previous post

Video | Audio: Natasha Lisimo - Mfariji

Next post

Video | Audio: Amani - My God