Connect with us

Video | Audio: Lightness Luther-Nachotaka (Cover)

Audio

Video | Audio: Lightness Luther-Nachotaka (Cover)

Kutoka jijini Dar es salaam kwa mara ya kwanza namtambulisha kwako mwimbaji mpya kutoka katika huduma ya muziki wa Injili nchini Tanzania anayefahamika kwa jina la Lightness Luther ambaye kwa mara ya kwanza ameachia video ya wimbo uitwao Nachotaka ikiwa ni marudio (cover) ya wimbo ulioimbwa na mwimbaji Emma Omonge kutoka nchini Kenya.

Video imeongozwa na director Yoel Mrisho kutoka studio za Key Art Films, Muziki ukiwa umetayaarishwa na kurekodiwa ndani ya studio za Moja Moja Records chini ya mikono ya prodyuza Zest.

Lightness Luther ni mtoto mwenye umri wa miaka 9 anayesoma darasa la nne nchini Tanzania ambaye kwasasa yupo chini lebo ya Gospel Inspiration Music (G.I.M).

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na mwimbaji Lightness Luther kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 713 935 343
Facebook: Lightness Luther
Instagram: @lightness_lutha
Youtube: GospelInspirationMusic

Like us on facebook >> Gospo Media Follow us on instagram >> @gospomedia

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

To Top