Connect with us

Audio: Leonel Orji – Closer

Audio

Audio: Leonel Orji – Closer

Leonel Chukwuemeka Orji maarufu akijulikana kama Leonel Orji akiwa ni mwimbaji mpya na mwenye kipaji kikubwa cha uimbaji, uandishi na utayaarishaji wa muziki nchini Nigeria. Kwa mara ya kwanza katika mwaka 2018 ameachia wimbo wake mzuri uitwao Closer ukiwa ni wimbo unaomzungumzia mtu mwenye kutamani kuwa karibu zaidi na Mungu ili aweze kupata mwelekeo sahihi wa maisha yake.

Leonel Orji Alizaliwa tarehe 15 Agosti huko jijini Lagos, Nigeria, akitokea Jimbo la Enugu, mashariki mwa Nigeria. Mpka sasa bado ni mwanafunzi wa masomo ya habari na televisheni kutoka Chuo Kikuu cha Bradford, nchini Uingereza.

Kwa moyo mkunjufu nakukaribisha kusikiliza na kupakua wimbo huu ambao nina imani kuwa utaufurahia na kukubariki, ameen.

 

Download Audio

Social Media
Facebook: Officialleonelorji
Instagram: @leonelorji
Twittter: @leonelorji

Like us on facebook >> GOSPO MEDIA  Follow us on instagram >> @gospomedia

More in Audio

To Top