Advertisements
Connect with us

Gospo Media

Audio: Lenjima – Narudi Nyumbani

Audio

Audio: Lenjima – Narudi Nyumbani

Baada ya kufanya vizuri kupitia wimbo uitwao Wastahili aliouachia mwezi Oktoba, Kwa mara nyingine mwimbaji wa nyimbo za Injili kwa mtindo wa HipHop maarufu kama Lenjima ameachia wimbo wake mpya uitwao Narudi Nyumbani.

Muziki huu umetayaarishwa na kurekodiwa ndani ya studio za Range93 Mo Town chini ya mikono ya prodyuza Capacity.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu ambao ni hakika utakubariki, Amen.

Kwa watumiaji wa tovuti bonyeza hapa chini:

[easy_media_download url=”https://gospomedia.com/wp-content/uploads/2018/12/Lenjima-Narudi-Nyumbani.mp3″ text=”Download Audio” force_dl=”1″]

Kwa watumiaji wa App bonyeza hapa chini:
Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na mwimbaji Erick Lenjima kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 769 012 182
Facebook: Erick Lenjima
Instagram: @erick_lenjima
Youtube: Erick Lenjima

1 Comment

1 Comment

  1. Anonymous

    March 10, 2019 at 1:30 pm

    Nice work brother,
    God bless you.

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

FEATURED MUSIC

Advertisements

TOP 10 ON GOSPOMEDIA

SUBSCRIBE

Enter your email address to subscribe to this blog and receive notifications of new posts by email.

Join 12,309 other subscribers

Gospomedia.com ni blog ya kikristo inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili.

To Top