Audio: Lenjima Feat. Anco Venna - Wastahili - Gospo Media
Connect with us

Audio: Lenjima Feat. Anco Venna – Wastahili

Audio

Audio: Lenjima Feat. Anco Venna – Wastahili

Kutoka kwa mwimbaji wa nyimbo za Injili kwa mtindo wa HipHop maarufu kama Lenjima siku chache zilizopita ameachia wimbo wake mpya uitwao Wastahili akiwa amemshirikisha mwimbaji Anco Venna.

Muziki huu umetayaarishwa na kurekodiwa ndani ya studio za Mo Town chini ya mokono ya prodyuza Range93 na Triple A.

“Nyimbo hii ni maalumu kwa kuabudu kumwambia Mungu unastahili kusifiwa na kuabudiwa, Nyimbo hii inataja ukuu na uweza wa Mungu duniani na mbinguni.” – Erick Lenjima

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu ambao ni imani yetu kuwa utakubariki, Ameen.

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na Lenjima kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 769 012 182
Facebook: Erick Lenjima
Instagram: @erick_lenjima

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

To Top