Connect with us

Audio: Leah Mwankundile – Hakuna Kama Wewe

Audio

Audio: Leah Mwankundile – Hakuna Kama Wewe

Kutoka jijini Dar es salaam kwa mara ya kwanza tunamtambulisha kwako mwimbaji mpya wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Leah Mwankundile ambaye kwasasa ameachia wimbo wake mpya uitwao Hakuna Kama Wewe.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu ambao ni hakika utakubariki, Amen.

Kwa watumiaji wa tovuti bonyeza hapa chini:

Download Audio

Kwa watumiaji wa App bonyeza hapa chini:
Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na mwimbaji Leah Mwankundile kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 789 960 682
Facebook: Leah Mwankundile
Instagram: @leahmwankundile
Youtube: Daudi Mwanisenga

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

To Top