Connect with us

Audio: Laban Nzelela – Stara Yangu

Muziki

Audio: Laban Nzelela – Stara Yangu

Kutoka mjini Morogoro leo kwa mara ya kwanza nimekusogezea wimbo mzuri wa kuabudu uitwao “Stara Yangu” kutoka kwa mwimbaji mpya katika kiwanda cha muziki wa Injili Tanzania anayefahamika kwa jina la Laban Nzelela. Muziki huu umetayaarishwa na mikono ya prodyuza Dizzy na kurekodiwa ndani ya studio za Pure Music zilizopo mjini Morogoro.

Akizungumza na gospomedia.com mwimbaji Laban alisema:

”Kwa ujumla nimeimba wimbo huu kuzungumzia jinsi Mungu alivyo na kutokana na jinsi alivyo yeye amekua Stara Yangu kwa maana yeye ndiye anayeweza kunihifadhi ninapomkimbilia” – alisema Laban

Kwa moyo mkunjufu nakukaribisha sasa kusikiliza na kupakua wimbo huu sasa nikiamini kuwa utakubariki na kukuinua katika viwango vingine katika kumtafakari Mungu na ufalme wake, Amen.

 

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na mwimbaji Laban Nzelela kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 656 574 760
Facebook: Bro Laban Nzelela
Instagram: @bro.laban_nzelela
Twittter: @labannzelela

Like us on facebook >> Gospo Media Follow us on instagram >> @gospomedia

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

NAWAPENDA - ZABRON SINGERS

Muziki

VIDEO | NAWAPENDA – ZABRON SINGERS

By October 11, 2021

TRENDING

To Top