Matangazo

KUTANA NA NAOMI MWAKANYAMALE NG’IMBA MWANDISHI WA HADITHI ZENYE MGUSO WA AINA YAKE..

Naomi Mwakanyamale ni msomi wa uhasibu kutoka chuo cha biashara Tanzania (CBE) lakini baadaye akagundua kipaji kingine ambacho Mungu ameweka ndani yake cha kuwafikia watu kwa njia ya utunzi wa Hadithi.

Naomi ameshaandika hadithi kadhaa, lakini kwa sasa ameandika kitabu kipya cha hadithi kinachoitwa Endless Love yaani Upendo usio na kikomo kitabu hiki kimeandikwa katika lugha ya kiswahili na tayari kimeshaingia sokoni.

Kitabu cha Endless Love kinasumilia hadithi ya binti aitwaye Mercy ambaye anapita kwenye misukosuko mingi mpaka kufikia hatua ya kutaka kujiua kwa kukosa tumaini la maisha, anakutana na watu wengi wanaonyesha nia ya kumsaidia lakini mwisho wa siku anaambulia majuto. Licha ya kupigana na kufanikiwa ki maisha Mercy anagundua kuna kitu kimepungua kwenye maisha yake mpaka anapokuja kukutana na Upendo wa Mungu usio na kikomo.

Hadithi hii ya kusimumua imesheeni visa vingi vya mapenzi, usaliti, migogoro na kila aina ya maisha. Yote zaidi ya yote kitabu hiki kinaonyesha jinsi gani Mungu anaweza kutumia maumivu na mapito binafsi ya mtu kwa ajili ya kumuinua na kuwatumikia wengine.

Kwa habari zaidi kuhusiana na Naomi Mwakanyamale na hadithi zake unaweza kutembelea blog yake naomimwakanyamale.blogspot.com au mtazamohalisi.org.

endless-luv3

Unaweza kununua kitabu hiki cha Endless Love(Upendo Usio na Kikomo) na ukaletewa popote ulipo kupitia sehemu zifuatazo

*Mwanza*

Duka la Imalaseko….wasiliana na Saida : +255 622 488 072
Suppliyer  atakakufuata kokote ulipo kupitia simu: +255 682 222 334

*Dar-Es-Salaam*
Suppliyer atakufuata popote ulipo kwa mahitaji yako ya jumla na rejareja. Nicholas: +255 683 166 211
Silver Tailoring Mart-Sinza Kumekucha: +255 715 782 784
Trida Fashion. Dar Free Market Mall {Obey}: +255 766 770 506

*Tanga*
Wasiliana kwa simu namba hii atakuletea ulipo: +255 712 888 012

*Arusha*
Wasiliana kwa simu namba hii atakuletea popote ulipo: +255 784 643 633

*Dodoma*
Wasiliana kwa simu namba hii na atakuletea popote ulipo: +255 715 790 791

*Shinyanga*
FK fashion, karibu na CRDB branch, simu: +255 758 016 162

*Marekani {USA}*

Utatumiwa mji wowote uliopo: +1 205 767 8163

Kwa mawasiliano zaidi na mwandishi wa kitabu hiki cha Endless Love(Upendo usio na Kikomo) Naomi Mwakanyamale wasiliana naye kupitia
Simu/WhatsApp: +1 (205) 767-8163
Facebook: Naomi Mwakanyamale Ng’imba
Facebook Page: Mtazamo Halisi
Instagram: @mtazamohalisi
YouTube: Mtazamo Halisi
Email: nmena450@gmail.com
Like Page yetu ya facebook >> GOSPOMEDIA.COM instagram>> @gospomedia

Advertisements
Previous post

JESSE XIBONA KUACHIA WIMBO MPYA 'KNOW YOURSELF' OKTOBA 2.

Next post

Tanzania kuna video bora kuliko kenya atoa wito huu kwa waimbaji