Gospel Spreading Power Media (GOSPO MEDIA) ni chombo cha habari njema za Injili. Chombo hiki kipo chini ya huduma ya “Injili Nation”.

Lengo la GOSPO MEDIA ni kueneza Injili ya Yesu Kristo kwa watu wote, kwa njia ya intaneti, muziki wa Injili, radio, televisheni, magazeti na matukio.

Advertisements