Connect with us

Kipindi Kutoka Kwa Milca kakete : Chumba Changu-Episode 01

Mafundisho

Kipindi Kutoka Kwa Milca kakete : Chumba Changu-Episode 01

Mwimbaji wa nyimbo injili Kutoka Tanzania ambaye kwa sasa anaishi nchini Canada Milca Kakete anakuletea kipindi chake kipya ambacho kitakuwa endelevu kinachofahamika kama CHUMBA CHANGU ambapo ataelezea mambo mbalimbali yanayopatikana ndani ya chumba hicho.

Unapenda kujua ni chumba gani hicho na kina nini ndani yake? Ungana na Milca kakete kutazama sehemu hii ya kwanza ya kipindi hicho cha Chumba Changu ili uweze kufahamu mambo mengi yaliyo ndani ya chumba hicho na uweze kufaidika.

Kama hujawahi kuusikia pia wimbo wake mpya gospomedia.com tunakukaribisha kusikiliza na kupakua wimbo huu mpya wa Nakung’ang’ania rmx kisha mpe sapoti yako kwa kuwashirikisha na wengine kwa kadri uwezavyo ili waweze kubarikiwa kupitia ujumbe wa baraka ulio katika wimbo huu na utakuwa umesaidia kuisambaza Injili mahala pote duniani na hakika Mungu atakubariki sana. Karibu!
 

DOWNLOAD

Kwa mawasiliano zaidi na huduma ya mialiko wasiliana na mwimbaji Milca Kakete kupitia
Simu/WhatsApp: +1(905)3415664
Facebook: Milca Kakete
Instagram: @milcakakete
Twitter: milca kakete
Facebook Page: Milca Kakete Ministry
Email: milcakakete@yahoo.com

Like Page yetu ya facebook >> GOSPOMEDIA.COM instagram: @gospomedia

More in Mafundisho

To Top