Audio: Kibonge Wa Yesu - Sitoki - Gospo Media
Connect with us

Audio: Kibonge Wa Yesu – Sitoki

Audio

Audio: Kibonge Wa Yesu – Sitoki

Baada ya mwezi Mei kuachia video ya wimbo unaoendelea kufanya vizuri mwimbaji wa nyimbo za Injili kutoka mjini Morogoro maarufu kama Kibonge wa Yesu kwa mara nyingine tena ameachia wimbo wake mpya uitwao Sitoki.

Muziki huu umetayaarishwa na kurekodiwa ndani ya studio za Mefo chini ya mikono ya prodyuza Kingson.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu na hakika utabarikiwa kwa viwango vingine, Amen.

Kwa watumiaji wa tovuti bonyeza hapa chini:

Download Audio

Kwa watumiaji wa App bonyeza hapa chini:
Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na mwimbaji Kibonge wa Yesu kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 654 448 206
Facebook: Juma Kyando(Kibonge wa Yesu)
Instagram: @kibongewaYesu_official
Youtube: juma kyando _kibonge wa Yesu

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

To Top