Audio

Audio: Khelechi – Elo’o (How Much)

Kutoka nchini Nigeria leo tumekusogezea wimbo mzuri wa Sifa na Ibada uitwao Elo’o (How Much) kutoka kwa mwimbaji wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Khelechi.

Muziki huu umetaayarishwa na kurekodiwa ndani ya studio za Sound & Beat chini ya mikono ya prodyuza Future Sam.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu tukiamini kuwa utabarikiwa kwa namna ya kipekee sana, Amen.

Kwa watumiaji wa tovuti bonyeza hapa chini:

Download Audio

Kwa watumiaji wa App bonyeza hapa chini:
Download Audio

Social Media:
Facebook: kelechisunday
Instagram: @khelechi
Twitter: @innoriano

Advertisements
Previous post

Audio: Wills – Count It

Next post

Audio: Ibinye Mordi – I Give It To You