Connect with us

Audio: Khati – I Will Worship

Muziki

Audio: Khati – I Will Worship

Kutoka nchini Nigeria kwa mara ya kwanza leo tumekusogezea wimbo mzuri wa sifa uitwao I Will Worship kutoka kwa mwimbaji wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Khati.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu ambao ni hakika utakubariki, Amen.

 

Social Media:
Facebook: Khati
Instagram: @Khati_Official
Twitter: @khati_official

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Advertisement

TRENDING

Jiunge Nasi

Jiunge na blog ya gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea updates za kiinjili kila siku kupitia barua pepe yako.

Join 16,107 other subscribers

To Top