Connect with us

KENYA: Pasta Asimulia Jinsi Mkewe Alivyomtoroka na Kuchukuliwa na Mwanaume Mwingine Baada ya Ajali

KENYA: Pasta Asimulia Jinsi Mkewe Alivyomtoroka na Kuchukuliwa na Mwanaume Mwingine Baada ya Ajali

Top Stories

KENYA: Pasta Asimulia Jinsi Mkewe Alivyomtoroka na Kuchukuliwa na Mwanaume Mwingine Baada ya Ajali

Pasta Israel Yohana wa kanisa la Souls Winning, Healing and Restoration Ministry ameendelea kuhubiri injili hata baada ya kuvunjwa moyo na mke wake wa zamani miaka sita iliyopita.

Kwenye mahojiano na TUKO, Yohana alisimulia jinsi alivyopata ajali ya barabarani 2007 iliyopelekea kupata majeraha mabaya kwenye miguu yake na jinsi alivyoachwa na mkewe aliyedumu naye kwa muda wa miaka tisa.

“Nililazwa katika Hospitali ya Kitaifa ya Kenyatta na wakati mke wangu aliponitembelea, alichukua KSh 20,000 na sikuwahi kumuona tena.” “Wakati nilipojaribu kumpigia simu mke wangu, mpenzi wake alipokea simu na kunikanya nisimpigie simu. Siku moja aliniambia nife pole pole,” pasta huyo alisimulia.

Chanzo: TUKO

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

To Top