Connect with us

Audio: Kebee feat. TB1 – Lion Of Judah (Remix)

Muziki

Audio: Kebee feat. TB1 – Lion Of Judah (Remix)

Kutoka nchini Nigeria leo nimekuletea remix ya wimbo uitwao Lion of Judah kwa mwimbaji, mtayaarishaji na music director anayefahamika kwa jina la Kebee hapa akiwa amemshirikisha rapa maarufu anayefahamika kwa jina la TB1, muziki umetayaarishwa na kurekodiwa ndani ya studio za Omni Muzic.

“Lion Of Judah” ni wimbo unaolisifu na kulitukuza jina la Yesu Kristo likiwa ni jina la pekee ambalo halijawahi kufeli linapoingia katika maisha yetu, ni jina lenye uwezo mkuu wa Mungu lenye kutenda miujiza ya kushangaza katika maisha yetu, jina la Yesu bado linaishi na kuendelea kututendea mambo makuu tunayoshuhudia kila siku. #Lion Of Judah

Kwa moyo mkunjufu nakukaribisha kusikiliza na kupakua wimbo huu wa pekee utakaoacha alama ndani ya nafsi na moyo wako, Barikiwa!

 

Download Audio

Social Media
Facebook | Instagram | Twitter: @mrkebee

Like us on facebook >> Gospo Media Follow us on instagram >> @gospomedia

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

NAWAPENDA - ZABRON SINGERS

Muziki

VIDEO | NAWAPENDA – ZABRON SINGERS

By October 11, 2021

TRENDING

To Top