Audio: KBG - One (What Happened) - Gospo Media
Connect with us

Audio: KBG – One (What Happened)

Audio

Audio: KBG – One (What Happened)

Kutoka nchini Zambia leo tumekusogezea wimbo uitwao One(What Happened) kutoka kwa rapa anayefahamika kwa jina la KBG. Muziki huu umetayaarishwa na kurekodiwa chini ya mikono ya prodyuza Manifest.
“Katika siku za nyuma tumekuwa tukifanya vitu pamoja bila kujali kanisa gani ulilokuwa, tungekutana wote kwenye Kanisa moja katika mafunzo ya Biblia na kujifunza njia za Mungu, Tungekuwa tunasoma na kuomba pamoja, tunashirikiana na kupanga mipango ya namna ya kuifikisha Injili sehemu mbalimbali duniani lakini sasa tumepoteza umoja huo. Tumeunda vikundi, makundi mbalimbali lakini umoja ambao tulikuwa nao hauko tena katika nyakati hizi.” – Alisema KBG
Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu ambao ni hakika utakubariki, Ameen.
Download Audio

Like us on facebook >> Gospo Media Follow us on instagram >> @gospomedia

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

To Top