Connect with us

Audio: Kas Feat Trusouth – Do More

Audio

Audio: Kas Feat Trusouth – Do More

Kutoka nchini Nigeria leo nimekueletea wimbo uitwao ”Do More” kutoka kwa mwimbaji wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Kas akiwa amemshirikisha rapa Trusouth, muziki ukiwa umetayaarishwa na mikono ya prodyuza Crix B (Spiritual Beatz).

“Do More” ni wimbo wenye ujumbe wa kukuinua kutoka ndani na kukufanya uelewe zaidi ukweli kwamba Roho Mtakatifu anafanya kazi ndani yako.” – Alisema Kas

Kwa moyo mkunjufu nakukaribisha kusikiliza na kupakua wimbo huu ambao nina imani kuwa utakubariki sana, Ameen.

 

Download Audio

Social Media
Instagram: @kaslambano
Twittter: @kaslambano

Like us on facebook >> GOSPO MEDIA  Follow us on instagram >> @gospomedia

More in Audio

To Top