Video | Audio: Karwirwa Laura - Mwenye Baraka - Gospo Media
Connect with us

Video | Audio: Karwirwa Laura – Mwenye Baraka

Audio

Video | Audio: Karwirwa Laura – Mwenye Baraka

Kutoka jijini Nairobi Kenya leo tumekusogezea video ya wimbo mzuri kabisa uitwao Mwenye Baraka kutoka kwa moja ya waimbaji wa nyimbo za Injili wanaofanya vizuri katika huduma ya Injili nchini humo maarufu kama Karwirwa Laura.

Video hii imeongozwa na director Director Dambiz kutoka studio za Cloud Montage Muziki ukiwa umetayaarishwa na kurekodiwa chini ya mikono ya prodyuza Saint P.

“Mwenye Baraka” ni wimbo wa shukrani na sifa ukielekeza nguvu ya utukufu wote kwa Mungu kwa baraka zake, upendo na kuitangaza kweli, hakuna yeyote aliye kama Mungu Mwenye nguvu na hakuna anayeweza kufanya yote anayofanya. Unapoendelea kusikiliza wimbo huu utapata kuelewa kwa upana juu ya asili yake kama Baba yetu mwenye upendo.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii njema ambayo ni hakika kuwa itakubariki kila wakati, Amen.

Kwa watumiaji wa tovuti bonyeza hapa chini:

Download Audio

Kwa watumiaji wa App bonyeza hapa chini:
Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na mwimbaji Karwirwa Laura kupitia:
Simu/WhatsApp: +254 736 792414
Facebook: Karwirwa Laura
Instagram: @karwirwalaura
Twitter: @karwirwalaura
Youtube: Karwirwa Laura

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

To Top