Audio

Music Audio: Kaestrings – LOVE

Kutoka nchini nigeria leo nimekuwekea wimbo mzuri uitwao LOVE kutoka kwa mwimbaji mwenye uwezo wa kuimba na kupiga gitaa vyema anayefahamika kwa jina la Kaestrings.

Wimbo huu unazungumzia upendo wa Mungu usioshindwa kwetu sisi watoto wake, licha ya kutokuwa na uaminifu wetu kwake bado amekuwa anatafuta njia sahihi ya kutufundisha na kutuonyesha upendo, Wimbo huu umeimbwa kwa lugha ya kiingereza na kiitikio kimeimbwa kwa lugha ya hausa kikisema “Nimefanya nini kustahili Upendo wako, nini kinachofaa zaidi kuliko shukrani na ni nini nitakupa. ”

Kwa moyo mkunjufu nakukaribisha kusikiliza na kupakua wimbo huu ambao ni hakika utakubariki siku ya leo..

 

Download Audio

Social Media
Facebook: Kaestings
Istagram: @kaestrings
Twitter: @kaestrings

Like facebook page >> GOSPOMEDIA  Follow instagram page >> @gospomedia

Advertisements
Previous post

Audio Music: Bishop Abrah Soja Feat Kibonge wa Yesu - Liwalo na Liwe

Next post

Audio Music: Benedict Fanuel - Sababu Bado Naishi